
Duwaa Company: Mkombozi wa Afya katika Mkoa wa Morogoro
Tangu kuanzishwa kwetu Novemba 2024 na kusajiliwa Januari 2025, Duwaa Company imejitolea kuwa mkombozi wa afya katika Mkoa wa Morogoro, hususan Wilaya ya Ulanga. Kwa kuzalisha na kusambaza unga wa lishe wenye ubora, tunahakikisha kwamba wakazi wa Morogoro wanapata fursa…