Kuzalisha
Unga wa lishe
Duwaa company tunatengeneza unga wa lishe bora na wenye viambata vya nafaka vipatavyo kumi na tatu(13) tofauti tofauti kwa njia bora za uzalishaji na uhifadhi wake ni mahali salama
Kuuza unga
wa lishe kwa jumla
Duwaa company tunanauza unga wa lishe kwa wafanyabiashara wa mudukani na supermarket kwa bei ya jumla kwa gharama ya shilingi 9000 kwa paketi moja ya 1.5kg karibuni sana.
Kusambaza na kuuza
unga wa lishe
kwa reja reja
Duwaa company tunasambaza unga wetu katika maeneo mbalimbali mfano shuleni,hospitalini,na ofisi mbalimbali za serikali na binafsi kwa mtumishi mmoja mmoja kwa gharama ya TZS 10000 kwa paketi moja ya 1.5kg pia tunatuma na mzigo unakufikia mahali ulipo kwa gharama zetu.Karibuni sana kwetu mteja ni mfalme
Huduma zetu
UNGA WA LISHE
UNGA WA LISHE KWA JUMLA
Unga wa lishe reja reja
VIAMBATA VYETU VYA NAFAKA KATIKA UNGA LISHE
SOYA
UWELE
MHOGO
MTAMA MWEKUNDU
MBEGU ZA MABOGA
UFUTA
IRIKI
ULEZI
Viazi lishe
mahindi
Mahindi lishe
ngano
karanga za almondi
USHUHUDA KUTOKA KWA BADHI YA WATEJA WETU
“Mwanangu alikuwa akipata shida sana na uzito mdogo na mara kwa mara alikuwa akiugua. Tangu nianze kumpa uji wa Duwaa Company, amebadilika sana! Ana nguvu, amepata uzito unaofaa, na ugonjwa umepungua. Huu uji umekuwa mkombozi kwetu!”
Bi. Asha Juma
Mzazi
“Kama mwalimu, nimeona tofauti kubwa kwa wanafunzi wetu tangu Duwaa Company walipoanza kutuletea unga wao wa uji. Watoto sasa wako macho darasani, wana umakini zaidi, na hata mahudhurio yameongezeka. Uji huu umewapa nguvu ya kujifunza!”
Bw. Omari Hassan
Mwalimu
“Katika zahanati yetu, tunapendekeza unga wa Duwaa Company kwa wagonjwa wetu, hasa wale wanaopona au wenye upungufu wa virutubisho. Ni chanzo kizuri cha lishe na tumeshuhudia maboresho makubwa katika afya zao. Ni bidhaa yenye ubora wa hali ya juu!”
Dkt. Neema Charles
Daktari