Kuhusu sisi
kuhusu sisi
Duwaa Company ilianzishwa november 2024 na kusajiliwa tarehe 10-01-2025 kama jina la biashara kwa Lengo la kuboresha afya za watumiaje wake kupitia lishe ya uji ambao unapendwa na kutumiwa na watu wa rika zote. Hadi sasa tumewafikia wateja zaidi ya 150 kwa huduma zetu kupitia mashuleni, zahanati, hospitali na ofisi za serikalinzilizopo wilaya ya Ulanga mkoa wa Morogoro, Tunazalisha unga wa lishe na kuuza kwa gharama ya TZS 10,000 kwa pakiti ya kilo moja na nusu.
MAONO YETU
Ifikapo 20230 Duwaa Company inatarajia kuuza unga wa lishe katika mikoa yote ya nchi ya Tanzanaia na kuwafikia wateja wasipungua millioni tatu.
Dhamira yetu
Kutoa bidhaa bora za unga lishe wenye virutubisho vipatavyo kumi na tatu(13) kama sehemu ya Tiba na kinywaji bora cha uji kwa watumiaje wake ikiwa ni pamoja na kupunguza tatizo la utapiamlo kwa watoto na kuleta hamu ya kula kwa watu wa rika zote kwa gharama nafuu na rafiki kwa Mtanzania
TIMU YETU

Ketson M Lusekelo

Joyce O Mwakapalila

Aziza Mohamed
MASWALI YANAYOULIZWA MARA KWA MARA
hUDUMA ZINAPATIKANA WAPI?
Huduma zetu zinapatikana katika kituo chetu kilichopo Lupiro.
Kwanini hakuna uthibitisho wa tbs katika bidhaa zenu?
Huduma hii ipo katika mchakato wa ufatiliaji katika mamlaka husika hivi karibuni zitawekwa.
kama sina pesa hivi sasa naweza kukopa bidhaa hii?
Ndiyo unaweza na kurejesha kupitia namba yetu ya simu iliyo katika pakiti hii ya bidhaa baada ya mshahara kutoka
Je endapo unga umeisha mnaweza kunitumia?
Ndiyo, Tunaweza kukutumia mahali ulipo kwa gharama za kampuni.